SOMO LA BURE KWA WAANDAAJI WA
FILAMU ZA KITANZANIA NA KWINGINEKO.. WARDROBE INAWEZA KUMJENGA MSANII AU
KUMBOMOA... OLOVIA POPE KWA ALIYESIMAMIA MAVAZI KATIKA HII SERIES AMETENDA
HAKI.. SHE HAS BEEN SEEN WITH SAME GRAY PATTERN JACKET BUT WITH DIFFERENT
LOOKS... UKIANGALIA SEASON ONE AND SEASON 2 KUNA BLAZER MOJA YA GREY NA
INAVIFUNGO MPAKA JUU PEMBENI VIKUBWA.. AMEIRUDIA RUDIA SANA ILA KABADILISHA
BLOUSE NA STYLE YAKE YA KUVAA CHENI JUU NDEFU.... |
EmoticonEmoticon