MWANAMZIKI MAHIRI NCHINI
MAREKANI ALICIA KEYS AMEKASHIFIWA KUWA HANA HESHIMA KWA KUIMBA WIMBO WA TAIFA
AKIWA AMEKAA KATIKA FAINALI ZA SUPER BOWL, BAADHI YA WAMAREKANI WAMESEMA SWALA
LA ALICIA KEYS KUIMBA HUKU AMEKAA KWA KISINGIZIO CHA KUPIGA KINANDA KIMEWAKERA
KWANI WAANDAAJI WA SHUGHULI HII WALIPASWA KUANDAA MAZINGIRA MAPEMA BEFORE HILI
HALIJATOKEA.
|
EmoticonEmoticon