
Uwasilishaji wa rasimu ya katiba.
Jaji Warioba anawasilisha Rasimu ya Katiba kwa takribani saa nne. Ameanza saa 3.30 asubuhi hadi saa 7.30 mchana.
Kikao cha maridhiano kilimalizika saa 4 usiku wa jana baada ya Bunge kuahirishwa.
Mungu Ibariki Tanzania!
EmoticonEmoticon