DAKIKA 90 ZIMEMALIZIKA HAKUNA MBABE, MADRID 1-MAN U1

 
Mshambuliaji wa timu ya Manchester United, Danny Welbeck (kulia) akiruka kupiga kichwa na kuifungia timu yake bao la kuongoza katika kipindi cha kwanza, dhidi ya Real Madrid, wakati wa mchezo wa Ligi ya Mabingwa, uliochezwa usiku huu. Hadi zinamalizika dakika 90, timu hizo zimetoka sare ya 1-1, ambapo bao la Madridi la kusawazisha limefungwa na Christian Ronaldo.
Christian Ronaldo, akishangilia bao lake aliloisawazishia timu yake katika kipindi cha kwanza.
Previous
Next Post »