WEMA SEPETU KAPATA SHAVU LEO KUENDESHA KIPINDI KATIKA RADIO YA CHOICE FM 102.6 KUANZIA SAA 9 MPAKA 5 JIONI!

 





Mama vannY siku ya Leo mchana anatakuwa live akitangaza.... Hii itakuwa ni Mara Ya kwanza kwa Wema sepetu kuwasha kipaza sauti na kuendesha show Ya redio kwa masaa mawili... Maybe hii itakuwa ni mwanzo wa sauti yake kusikika redioni.... Hebu tune to Choice Fm today 102.6 Fm and let us know what do you think...?? Anaiweza hii kazi
Previous
Next Post »