Bendi ya Msondo
Ngoma Music Band jioni hii imempoteza mpiga gitaa la bezz Ismail Mapanga, Hali
yake ilianza kudhoofu wakati bendi ikiwa katika safari mkoani Tabora wiki
iliyopita.
Taratibu za
mazishi zitakapotolewa tutatoa taarifa
MUNGU AMLAZE PEMA PEPONI

EmoticonEmoticon