Mjumbe
wa Kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara, Deo Sanga (kulia), akipata maelezo
kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries
Limited (TDL), David Mgwassa,kuhusu utengenezaji wa konyagi kubwa wakati wa
ziara ya kamati hiyo, kwenye kiwanda hicho, Dar es Salaam juzi.
Wajumbe
wa Kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara, wakiangalia uzalishaji walipotembelea
kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), Dar es
Salaam
Mwenyekiti
wa Kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara, Mahamoud Mgimwa (kushoto) akizungumza
na Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited
(TDL), David Mgwassa wakati wajumbe wa kamati hiyo walipotembelea kiwanda hicho
Dar es Salaam.PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
| Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara, wakiangalia uzalishaji walipotembelea kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), ares SDalaam |
Wajumbe
wa Kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara wakitembelea sehemu ya mitambo ya
kujaza bia kwenye chupa katika kiwanda cha TBL, Dar es Salaam
Meneja
wa Kiwanda cha Bia cha Kampuni ya Bia Tanzania, Martine Calvin (kulia),
akiwapatia maelezo kuhusu historia ya kiwanda hicho, wajumbe wa Kamati ya Bunge
ya Viwanda na Biashara, walipotembelea kiwanda hicho.
Ofisa
Uhusiano wa TBL, Doris Malulu (kulia) akiwakaribisha wajumbe wa kamati hiyo
kwenye chumba cha mikutano tayari kupata taarifa ya utendaji wa kampuni
hiyo.
Mkurugenzi
wa Miradi Maalumu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Phocas Lasway akitoa maelezo
jinsi ongezeko la kodi ya asilimia 25 lililovyoathiri uzalishaji wa kampuni
hiyo.
Mwenyekiti
wa kamati hiyo, Mgimwa akielezea jinsi watakavyoshirikiana na TBL kutafuta
ufumbuzi wa changamoto mbalimbali zinazikabili kampuni hiyo.Kushoto ni Katibu
Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Joyce Mapunjo.
Mkurugenzi
wa Maendeleo ya Wanachama na Mawasiliano wa CTI, Neema Mhondo akielezea jinsi
Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji kilivyopandisha kiholela ada kwa kampuni
mbalimbali kutoka sh. 400,000 hadi milioni 7 kwa mwaka.
Wajumbe
wa Kamati hiyo ya Bunge wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza ziara
kiwandani hapo
EmoticonEmoticon