Pombe si chai-Mwanamke ajikuta akivua nguo shughulini


 

MWANAMKE mmoja aliyetambulika kwa jina la Mamuu [30] mkazi wa Yombo Vituka jana aliitiam aibu familia yake baada ya kufakamia kinywaji aina ya bia na kujikuta akifanya vioja hali iliyofanya mume kucharuka na kutngaza kutoa talaka kuhusiana aibu aliyo

Mwanamke huyo mama wa watoto wawili  Jumamosi kwenye mkesha wa sherehe ya harusi ya mtoto ya jirani ya ke mtaa mmoja anakoishi alifanya vituko vioivyopelekea kupata aibu ya kufunga mwaka mtaani hapo

Mwanamke huyo imedaiwa si mzoefu a kinywaji hicho bali siku hiyo bila kutambua athari ya kinywaji hicho majira ya saa 11 jioni akiongozana na ndugu wa karibu wa wenye sherehe hiyo kupata kinywaji hicho ili waweze kusherehesha vizuri sherehe hiyo ambayo ilipaniwa na wa wanawake hao


Imedaiwa kuwa wakati wanakwenda kupata kinywaji hicho moja ya ‘grosari’ iliyo karibu na mtaa wanaoishi ndugu hao walijua jirani huyo huenda alikuwa mzoefu katika masuala bila kutambua mwenzaos ni maamuma katika kubugia kinywaji hicho


Imedaiwa kwa kuwa walikuwa na furaha kubwa Mwenyezi Mungu kuwafikusha siku hiyo mbayo waliipania walianza kinywaji hicho na wmanamke huyo alipomaliza kinywaji hicho alidai aongezwe cha pili na mara baada ya kumaliza hicho ilidaiwa aliongeza cha chupa ya tatu ambayo ndiyo ilimfanya aadhirike na kupatwa na aibu kubwa


Imedaiwa kuwa, mara baada ya kumaliza kinyaji hicho hali ya mwanamke huyo ilianza kubadilika wka kuanza kuropoka huko na huko, kuanza kutukana matusi ya nguoni kwa kila amuonae mbele yake hali iliyozua mtafaruku na wenzake hao wakaamua wamsitishie kinywaji na kumshi akampumnzike kwani hakuweza kuhimili vishindo


Hata hivyo mwanamke huyo hakuwa tayari kurudi nyumbani na hapo usiku ulishaingia na maajabumakubwa yalionekana zaidi wakati wa uchezaji mziki ka kuonekana kutkaa kuvua nguo kwa kuwa fahamu zilimtoka kwa pombe jambo lilofanya wenye shughuli kumbeba na kumpeleka ndani akapumzike


Hata hivyo haikuwa dawa baada ya dakika kadhaa mwanamke huyo katikati ya mziki wakati akicheza alijikuta akianza kusaula nguo moja baada ya nyingine ndipo hapo baadhi ya wenye shughuli waliamua wamfungie katika moja ya chumba ili kumsitiri aibu anayofanya

Hivyo wakati yote hayo yakiendelea mume wa mwanamke huyo alikuwa bado hajafika nyumbani kwake na alipofika nyumbani kwake majira ya saa 3 usiku baadhi ya majirani mashuhuda walimtonya mambo aliyokuwa akifanya mke wake katika shughuli hiyo ndipo mume huyo kwa hasira akathibitisha mke wake kufunguwa katika moja ya chumba na kwa aibu hiyo aliyodai ni kubwa kwake alitangaza kumpa talaka mwanamke huyo kwa kuwa aibu hiyo hajui pa kuificha


Hata hivyo imedaiwa na mmoja wa majirani siku iliyofuata baada ya mwanamke huyo pombe kumuishia aliadiiwa aliyoyafanya na alimtaka radhi mume wake huyo lakini mume huyo tayari alishakuwa katika adhimio la kuandika talaka ampatie mke wake huyo kutokana na aibu kubwa alioyompatia mtaani

 

 

 
Previous
Next Post »