MAANDALIZI YA TAMASHA LA MTIKISIKO 2012 UWANJA WA AMANI MAKAMBAKO LEO YAMEKAMILIKA
MUONEKANO WA STAGE
Stage na sound ya kimataifa ikiwa tayari imekwishafungwa uwanja wa Amani MakambakoMsanii mwimbaji Amin naye atakuwepo
Msanii Linah antarajiwa kuwepo leo
Katika tamasha la MTIKISIKO 2012 Wasanii
Amini, Linah, Mpoki na Roma wanatarajiwa kuwapa burudani wakazi wa
makambako na vitongoji vyake.
Promotion Manager wa EBONY FM BONNY SLIE katika kuhakikisha kuwa mambo yanakuwa sawa tayari kwa kuanza burudani kwa wana makambako
Ni leo katika uwanja wa Amani Makambako kwa kiingilio cha shilingi 3,000/= kuaznia saa nane mpaka saa kumi na mbili jioni. Huku wakati wa usiku wakipatiwa burudani ya nguvu kutoka kwa msanii Roma katika ukumbi wa GREEN CITY kwa kiingilio cha Tsh 10,000 Tu.
EmoticonEmoticon