Marehemu Barlow aliuawa usiku wa Oktoba 13 mwaka huu Mwanza kwa kupigwa risasi na watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi
Usiku huo marehemu Barlow ilidaiwa mara bada ya kumshusha kwenye gari lake mwanamke aliyetambulika kwa jina la Doroth nyumbani kwake ghafla alivamiwa na watu waliozunguka gari lake na katika mabishano walimfyatulia risasi na kuuawa
Shughuli za kuagwa mwili huo zilitawaliwa na vurugu kutokana na idadi kubwa ya watu kujitokeza kuaga mwili huo huku wengine walilalamika wka kukosa furusa ya kuaga mwili huo
Waliohudhuria shughuli hiyo akiwemo Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mkuu wa Jeshi la polisi na viongozi wengine wa serikali wakiwaongoza watanzania kuuaga mwili huo
TAYARI Rais Kikwete ameshaagiza waharifu waliohusika katika tuiko la kumuuuwa Kamana huyo wakamatwe
Marehemu huyo jana alisafirishwa kuelekea Kijijini kwao Kilema Moshi vijijini kwa ajili ya maziko yanayotarajiwa kufanyika leo

EmoticonEmoticon