PREZZO AFANYA ZIARA NIGERIA
Rapa wa kenya na mshindi namba mbili wa shindano la big brother Africa 2012 akizungumza na vyombo vya habari huko Nigeria.Akiwa kama balozi mpya yuko katika kampeni ya kupunguza njaa katika nchi za Afrika na kupambana na umaskini uliokithiri akiwa ameambatana na Bono.Mary J Blige.Nas na wengineo
EmoticonEmoticon