Takriban watu 33 wameuawa kufuatia mafuriko makubwa kati kati mwa jimbo la Plateau nchini Nigeria.
Afisa mmoja wa shirika la kutoa misaada, Abdussalam Muhammad amesema, kuwa maelfu ya watu wameachwa bila makao baada ya makaazi yao kusombwa na maji.
Amesema usafiri umetatizika baada ya barabara kadhaa na daraja kusombwa na maji na hivyo kuvuruga shughuli za kutoa misaaada.
EmoticonEmoticon