Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli
akihutubia mamia wa wakazi wa Kahama mara baada ya kuwasili akitokea
Nzega mkoa Tabora.
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli
akicheza jukwaani wimbo wa kwaya ya Haleluya Kuu kutoka Kanisa la KKKT-
Usharika wa Yeru Ndala Shinyanga kabla ya Kuhutubia mamia ya wakazi
Kahama mkoani Shinyanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli
akimpongeza Mbunge wa zamani wa Kahama James Lembeli mara baada ya
kuwasalimia wananchi waliofika kwa ajili ya kumsikiliza Rais katika viwanja
hivyo vya Kahama.
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli
akihutubia mamia wa wakazi wa Isaka mkoani Shinyanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
ameambatana na Mbunge wa zamani wa Kahama James Lembeli ambaye ni
mwanachama wa Chadema mara baada ya kumaliza kuhutubia mkutano mjini
Kahama mkoani Shinyanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli
akicheza pamoja na Wanakwaya wa Haleluya Kuu kutoka Kanisa la KKKT-
Usharika wa Yeru Ndala Shinyanga mara baada ya kumaliza kuhutubia mkutano
Kahama mjini mkoani Shinyanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli
akifurahia mara baada ya kuoneshwa picha na kijana mmoja aliyeishika picha
hiyo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli
akihutubia mamia ya wakazi wa Tinde mkoani Sinyanga. PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon