Watu wawili wamethibitishwa kupoteza maisha huku mmoja akiwa mahututi na jitihada za kumuokoa mmoja ambaye bado amefukiwa kwenye kifusi zikiendelea mara baada ya nyumba waliyokuwa wamelala kuporomokewa na kifusi katika eneo la Kawe Ukwamani Shughuli za uokoaji bado zinaendelea zikiongozwa na vyombo vya uokoaji, usalama kwa ushirikiano na wananchi.
Watu wawili wamethibitishwa kupoteza maisha huku mmoja akiwa mahututi baada ya kufukiwa na kifusi eneo la kawe Ukwamani
Watu wawili wamethibitishwa kupoteza maisha huku mmoja akiwa mahututi na jitihada za kumuokoa mmoja ambaye bado amefukiwa kwenye kifusi zikiendelea mara baada ya nyumba waliyokuwa wamelala kuporomokewa na kifusi katika eneo la Kawe Ukwamani Shughuli za uokoaji bado zinaendelea zikiongozwa na vyombo vya uokoaji, usalama kwa ushirikiano na wananchi.
EmoticonEmoticon