Mwakilishi
wa Tanzania kwenye mashindano ya Urembo ( The 2015 Miss Universe),
Lorraina C. Marriot (kushoto) ambaye ni Miss Universe Tanzania 2015
akipozi na Giada Pezzaioli, Miss Universe Italy 2015. Warembo hao
walikuwa wakitalii na kufanya mazoezi kwa ajili ya michuano hiyo
kufanyika DIC Crown in Las Vegas. Kuona maandalizi na michuano yote ya DIC Crown in Las Vegas angalia live kupitia FOX telecast saa 7:00 usiku Jumapili, Desemba 20, mashindano yatafanyikia Planet Hollywood Resort & Casino iiliyopo Las Vegas Marekani. (Picha na Darren Decker). Kutoka
kushoto ni Lorraina C. Marriot, Miss Universe Tanzania 2015; Aniporn
Chalermburanawong, Miss Universe Thailand 2015; na Mikaela Eleni
Fotiadi, Miss Universe Greece 2015; tembelea Zappos.com Jumanne,
December 8. Imetolewa na Mkuu wa Idara ya The Miss Universe
Organization. (Picha na Darren Decker). Lorraine Marriot akiwa Las Vegas. (Picha na Fadil Berisha).
EmoticonEmoticon