Ratiba ya Ligi Kuu Uingereza wikiendi hii

Kocha wa Manchester City Manuel Pellegrini
Kocha wa Manchester City Manuel Pellegrini
Ligi Kuu ya Uingereza inatarajiwa kuwasha moto wikiendi hii ambapo Manchester City itawakaribisha Liverpool katika dimba la Etihad siku ya Jumamosi.
Kocha Jurgen Klopp wa Liverpool
Kocha Jurgen Klopp wa Liverpool
Nao Manchester United yenye wachezaji majeruhi kama Wayne Rooney na Anthony Martial watapambana na Watford huku Arsenal ikisafiri hadi Birmingham kumenyana na West Brom.
Ratiba kamili wikiendi hii;
JUMAMOSI 21 NOV 2015 LIGI KUU
Watford v Man Utd 15:45
Chelsea v Norwich 18:00
Everton v Aston Villa 18:00
Newcastle v Leicester 18:00
Southampton v Stoke 18:00
Swansea v Bournemouth 18:00
West Brom v Arsenal 18:00
Man City v Liverpool 20:30
JUMAPILI 22 NOV 2015
Tottenham v West Ham 19:00
JUMATATU 23 NOV 2015
Crystal Palace v Sunderland 23:00
Muda wote ni kwa saa za Afrika Mashariki
Previous
Next Post »