Jerry Silaa amepost Ujumbe huu akithibitisha kufariki kwa Mbunge Deo Filikunjombe pamoja na baba yake, Mzee William Silaa ambaye alikuwa Rubani wa Helikopta hiyo >>> “Kwa
masikitiko makubwa nimepokea taarifa rasmi kutoka kwa timu ya uokoaji
imefanikiwa kufika eneo la ajali na kukuta abiria wote na rubani
wamepoteza maisha…. Nimepoteza Baba na rubani mzuri wa nchi yetu
Capt.William Silaa, nimepoteza rafiki na kiongozi wangu Mhe. Deo
Filikunjombe. Nawapa pole wote waliopoteza ndugu zao. Nawaombea marehemu
mapumziko ya Amani“— jerrysilaa
“Nawashukuru
wote walioshirikiana na familia kusaidia uokozi. Namshukuru Mhe.Rais
Jakaya M Kikwete, Dr.John Pombe Magufuli, IGP Ernest Mangu, Katibu Mkuu
MU Dr. Meru, Kampuni ya Everest Aviation ,Wabunge, MaDC, Maafisa wa TCAA
na wote walioshiriki kuwatafuta wahanga wa tukio hili. Tutajuzana
taarifa na mipango mingine. JS” >>> jerrysilaa
RIP Marehemu Captein William Silaa & Mbunge Deo Haule Filikunjombe.
EmoticonEmoticon