Beyonce na Kelly Rowland ni
mastaa waliotengeneza Historia na kuwa ndugu wa karibu ambao wamelelewa
kwenye familia moja tangu utotoni… kiukweli wao ni moja ya mifano ya
mastaa ambao wanapendana kwelikweli.
Safari yao kwenye muziki inagusa kwa sehemu kubwa pia kundi la Destiny’s Child
!! Japo kundi halipo karibu sana kwa sasahivi lakini bado wana love na
ushirikiano ambao hauishii kwenye muziki na hata kwenye maisha ya
kawaida wanayoishi.
Pichaz ziko mitandaoni, watu wanakula good times ndani ya Boti Italy… sura zinazoonekana ndani ya Boti ni Beyonce na mume wake Rapper Jay Z, alafu yuko pia Kelly Rowland na mumewe Tim Witherspoon pamoja na watoto wao, yani Blue Ivy na Titan… kuna crew ya walinzi na washkaji wengine pia walioongozana nao.
Pichaz nyingine hizi hapa mtu wangu.
EmoticonEmoticon