Mkuu wa
Kitengo cha Mawasiliano wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini,
Monica Laurent (kushoto), akizungumza na wanahabari wakati akimkaribisha
msemaji wa mkutano huo kuzungumza na waandishi.
Msajili
Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini, Sisty Nyahoza (kushoto), akizungumza
katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu
vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu ambavyo vinastahili kushiriki
uchaguzi mkuu. Kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu,
Emmanuel Kayuni.
Mkutano na wanahabari ukiendelea.
Mwanahabari wa gazeti la Nipashe, Theresia akiwa nyuma ya kamera wakati wa mkutano huo.
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo kwenye mkutano huo.
EmoticonEmoticon