
Mkurugenzi
wa Vision Investments, Ally Nchahaga (katikati), akizungumza na
waandishi wa habari jijijini Dar es Salaam Julai 26.2015, wakati wa
uzinduzi wa Gulio la Magari lijulikanalo kama ‘Automart’ litakalofanyika
kila Jumapili ya mwisho wa mwezi na kuwakutanisha wauzaji na wanunuzi
wa katika viwanja vya maegesho ya magari vya Hoteli ya Sea Cliff Masaki
jijini. Kushoto ni Meneja masoko wa Mtandao wa kuuza magari wa
Cheki.co.tz, Mori Bencus na Mkurugenzi wa kampuni ya Auto Sport Repairs,
Sikandar Merali. PICHA ZOTE NA JOHN BADI WA DAILY MITIKASI BLOG.


Meneja
Masoko wa Mtandao wa kuuza magari wa Cheki.co.tz, Mori Bencus (kushoto),
akifafanua jambo kwa waandishi wa habari jijijini Dar es Salaam Julai
26.2015, wakati wa uzinduzi wa Gulio la Magari lijulikanalo kama
‘Automart’ litakalofanyika kila Jumapili ya mwisho wa mwezi na
kuwakutanisha wauzaji na wanunuzi wa katika viwanja vya maegesho ya
magari vya Hoteli ya Sea Cliff Masaki jijini. Katikati ni Mkurugenzi wa
Vision Investments, Ally Nchahaga na Mkurugenzi wa kampuni ya Auto
Sport Repairs, Sikandar Merali.
EmoticonEmoticon