Mtu mmoja anayesadikiwa kuwa jambazi ameuawa katika mapambano na askari polisi katika kijiji cha Kibande wilayani Buhigwe mkoani Kigoma

Mtu mmoja anayesadikiwa kuwa jambazi ameuawa katika mapambano na askari polisi katika kijiji cha Kibande wilayani Buhigwe mkoani Kigoma baada ya polisi kutaka kuwakamata majambazi watatu waliokuwa wakijiandaa kufanya uharifu katika tukio hilo ambalo lilipelekea bunduki moja ya kivita na risasi 72 kukamatwa.
Previous
Next Post »