Shehe wa mkoa wa mbeya kulia Ndugu Mohamed Mwansansu pamoja na Askofu Thomas Kongolo mwakilishi wa jukwaa la wakristo mkoa wa mbeya kwa pamoja wakimkabidhi tuzo Mheshimiwa Makongoro Nyerere (Mb) afrika mashariki kwa niaba ya familia ya Hayati Baba wa taifa Mwl.Julias Nyerere tuzo ambayo imetolewa na viongozi hao wa dini kwa kutambua mchango na utumishi uliotukuka kwa Baba wa taifa mwalimu Nyerere , hafla ambayo imefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mkapa jijini mbeya Mei 25 mwaka huu. |
EmoticonEmoticon