Simon
Msuva (kushoto) akishangilia na Amis Tambwe baada ya Tabwe kuipatia timu
yake bao la katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara kwenye
Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshida 4-1. (Picha na
Francis Dande)
Mashabiki wa Yanga wakishangilia bao lililofungwa na Amis Tambwe.
Mshambuliaji Wa Yanga, Simon Msuva akimtoka beki wa Polisi Moro, Hassan Mganga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Shabiki wa Yanga akifurahia bao la pili la timu yake.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia baada ya kumalizika kwa mchezona Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 4-1.
Amis Tambwe akipokea mpira baada ya kufunga"Hat Trick"
Kocha wa Yanga, Hans Pluijm akishangilia baada ya timu yake kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara.
Mashabiki wakishangilia.
EmoticonEmoticon