KONA YA JAMII
SPORTSBREAKING NEWS MASHABIKI WA 5 WA SIMBA WAFARIKI DUNIA NA WENGINE 15 KUJERUHIWA BAADA YA BASI WALILOKUWA WAKISAFIRIA KUELEKEA SHINYANGA KUSHANGILIA TIMU YAO KUPINDUKA ENEO LA KWA MAKUNGANYA BARABARA KUU YA MORO-DODOMA
BREAKING NEWS MASHABIKI WA 5 WA SIMBA WAFARIKI DUNIA NA WENGINE 15 KUJERUHIWA BAADA YA BASI WALILOKUWA WAKISAFIRIA KUELEKEA SHINYANGA KUSHANGILIA TIMU YAO KUPINDUKA ENEO LA KWA MAKUNGANYA BARABARA KUU YA MORO-DODOMA
Mashabiki 5 wa Simba wamefariki dunia na wengine 15 wamejeruhiwa baada ya basi lao dogo walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kupinduka eneo la Kwa Makunganya barabara kuu ya Moro - Dodoma. Walikuwa wanaenda Shinyanga kuishangilia timu yao
EmoticonEmoticon