EMMANUEL KIGARO: Ni mlemavu anaishi kijiji cha Mwamigongwa kata ya Malili wila ya busega Mkoa mpya wa simiyu anaomba msaada wa baiskeli ya kuendesha kwa mikono kwa yeyote atakaye guswa ukitaka kumsaidia wasiliana nami au wasiliana naye kwa no: 0768992413
EmoticonEmoticon