Clean 9: Mkombozi wa wale wenye mafuta yaliyozidi mwilini. Punguza 3kgs - 8kgs Kwa Siku 9 tuu.











Bidhaa hii ni mchanganyiko wa bidhaa nne (Aloe Vera Gel chupa 3, Ultra lite with Aminotein, Bee Pollen na Garcinia. Pia ina tape measure. Ina kitabu cha mwongozo wa jinsi ya kuzitumia bidhaa hizi. 

Clean 9 ni muhimu katika kupunguza mwili kwa sababu ina fanya kazi ya kusafisha mwili, kuondoa sumu mwilini, kuondoa mafuta yaliyozidi mwilini na kukupa mfumo bora wa ulaji wa chakula.

Matumizi yake ni rahisi, siku mbili za mwanzo utatumia bidhaa bila chakula, na siku ya tatu utaanza kula. Utahitajika kufanya mazoezi kwa angalau dakika 20. (Kutembea, kuruka kamba, kukimbia au gym) Utahitajika kunywa maji ya kutosha angalau lita 3 kila siku.

Inatumika kwa siku 9. Na itakusaidia kupunguza kilo 3 mpaka 8. Kisha kwa kupunguza zaidi utatumia Nutri-lean ambayo ina bidhaa za mwezi mzima na unauwezeo wa kupungua kilo 10 mpaka 15.Unahitaji tuwasiliane kwa 0754884531
Previous
Next Post »