BAYERN WALIVYOIKALISHA MANCHER CITY


Ligi ya mabingwa wa ulaya imeendelea tena leo kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali barani ulaya – kule Etihad stadium Manchester waliikaribisha FC Bayern Munich katika mchezo wa kundi E
Mchezo huo uliowakutanisha mabingwa wa ligi za Ujerumani na England ulikuwa mgumu na mpaka kufikia dakika ya 90 bado matokeo yalikuwa 0-0, sifa zimuendee Joe Hart wa City kwa umahiri wa kuokoa michomo ya washambuliaji wa Bayern. 


Katika dakika 3 za mwisho za nyongeza mchezaji wa zamani wa Man City – Jerome Boateng akaiadhibu timu yake ya zamani kwa kuifungia Bayern goli pekee na la ushindi kwenye mchezo huo. 

Boateng alifumu a shuti kali ambalo Hart alijaribu kulifuata lakini likamshinda na kuipa Bayern ushindi wa kwanza kwenye ambalo linahusisha vilabu vya Spartak na As Roma. 

Timu zilipangwa kama ifuatavyo: 
Bayern Munich: Neuer 7, Rafinha 6.5 (Pizarro. 84), Boateng 7, Benatia 6.5 (Dante, 85), Bernat 7.5, Lahm 6.5, Alonso 6.5, Alaba 7, Muller 6.5 (Robben, 76, 5.5), Lewandowski 6.5, Gotze 7
Subs: Reina, Dante, Shaqiri, Pizarro, Rode, Hojbjerg.
Scorer: Boateng, 89.
Manager: Pep Guardiola, 6.5

Man City: Hart 9, Sagna 6.5, Kompany 7, Demichelis 6.5, Clichy 6, Nasri 5.5 (Milner, 58, 6) Fernandinho 6, Toure 5.5, Navas 6 (Kolarov, 87), Silva 7.5, Dzeko 6 (Aguero, 74, 5.5)
Subs: Caballero, Kolarov, Aguero, Lampard, Mangala, Boyata.
Manager: Pellegrini, 6.5
Previous
Next Post »