WANAFUNZI WAFARIKI KWA KUPIGWA RADI

Wanafunzi wawili wa shule ya sekondari Kamuli iliyoko wilayani Kyerwa Mkoani Kagera wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi.
Mwanafunzi mmoja mwingine yeye amejeruhiwa tu na radi hiyo na anaendelea na matibabu
Previous
Next Post »