
Tani 7 za vipodozi vinavyodaiwa kuwa na viambata vyenye sumu vimeteketezwa kwa moto katika dampo la Mwang'ombe lililopo jijini Tanga kufuatia wakaguzi wa idara ya afya kufanya msako mkali na wa kustukiza katika baadhi ya maduka kisha kubaini kuuzwa kwa bidhaa hizo ambazo inadaiwa kuwa zimekuwa zikisababisha maradhi kwa watumiaji ikiwa ni pamoja na saratani ya ngozi.
EmoticonEmoticon