Askari wa kikosi cha Zimamoto wakifika eneo la tukio asubuhi hii
Moto ukiendelea
Juhudi zikiendelea. Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
Transforma zinazosambaza umeme katika maeneo mbalimbali ya mji wa Moshi Mkoani Kilimanjaro zilizoko eneo la Bomambuzi zimewaka moto asubuhi hii muda mfupi baada ya kutokea shoti ambayo haijafahamika chanzo chake ni nini.
Moto huo umetokea majira ya saa 1:10 na kusababisha maeneo kadhaa ya mji wa Moshi kukosa umeme hadi sasa.
Globu ya jamii imeshuhudia kikosi cha zimamoto kutoka manispaa ya moshi kikijaribu kuzima moto huo ambao hata hivyo ulikwisha teketeza sehemu kubwa ya kituo hicho cha kupozea umeme.

Artikel Menarik Lainnya
Waziri Mkuu alivyobebwa juujuu kutolewa nje ya Bunge la Ukraine. Bunge la Jamuhuri ya Muungano Tanzania litaanza muda sio mrefu baada ya Uchaguzi mk
Hali Ilivyokuwa Nyumbani Kwa Gwajima jana Baada Ya Kuzingirwa Na Jeshi La Polisi Askari wakiwa nyumbani kwa Gwajima. Makamanda wa polisi wakiwa ta
HAPA WAPI
IRENE KIWIA FROM TANZANIA WON WOMAN OF THE YEAR AFRICA AWARD Africa Reconnect awards 11 outstanding African
THIS IS AMAIZING
9 Steps To Stop Dreaming and Start Doing 1. Accept responsibility for your own actions “Start where you are. Use what you have. Do what y
EmoticonEmoticon