MAKUCHA YA SIMBA (LION CLAWS)

Na Saimeni Mgalula

Rushwa ni  adui wa haki,pamoja na kuwa ni hadui wa haki leo hii twendesawa na Hadithi ya MAKUCHA YA SIMBA (LION CLAWS) ni hadithi ambayo inaelezea baadhi ya vituo vya polisi na baadhi yao wanavyo jihusisha na upokeaji wa Rushwa na kutotoa haki kwa Raia wenye haki zao.

Kutokana na ubatili huo tunaenda kumuona kijana mmoja ambaye alipinga vikali juu ya haki za watu baada ya kumaliza mafunzo ya jeshi la polisi na kuingia katika utendaji wa kazi huku akiwa amekula kiapo cha ukweli kulitumikia jeshi la polisi kiufasaa zaidi ikiwa alikuwa ni mtu wa kufuata haki za raia polisi wenzake wanakuwa hawamuungi mkono hata kidogo ila walikuwa wanamuunga mkono mtu mmoja ambaye alikuwa anajishughulisha na biashara haramu akiwa na vijana wake wa kazi mtu huyo utakwenda kumjua hapo baadaye lakini anakuja kukutana na kijana polisi anaye fanya kazi kwa kufuata sheria ,Je itakuaje fatilia iliujue nini kilitokea.

Jemsi Idirisa nikijana aliyekuwa amemaliza mafunzo ya jeshi la polisi katika chuo fulani nchini   katika bara la Afrika baada ya kumaliza mafunzo hayo alipangiwa kufanya kazi katika kituo kimoja kilichopo katika kijiji cha Igomelo katika nchi hiyo fulani,

Mara baada ya kufika pale alikuwa ni mchapakazi na aliyependwa na watu wote kutokana na kutoa haki kwa kila mtu kitu kilichowafanya Wananchi waendele kumpenda sana huku polisi wenzake wakiendelea kumchukia kulingana na kuaribu biashara yao ya uchukuaji wa Rushwa ,

Tukiacha na hayo tunaendakuona  juma Rashidi ambaye alikuwa ni mzee ambaye alikuwa akifanyabiashara haramu na mdogo wake simony Rashidi kama kuuza madawa ya kulevya ,kufanya mauaji,utekaji iliwapate pesa wakati huo kumbe kule kijijini alikuwa anamali nyingi sana na polisi Jemsi alikuwa amewarudishia mali walizokuwa wameporwa na mzee juma .

Wakati yupo pale baada ya miezi mitatu mzee juma ambaye alikuwa na pesa nyingi sana alisikia tetezi kuwa Jemsi amemrudishia kila mtu rasilimali ambazo walikuwa wamenyang`anyway na mzee huyo juma kama vile ardhi ,na mashamba iliwananchi wafe njaa.

Baada ya kusikia hivyo ghafla mzee juma alishangaa aaaaaaaaaaaaa! Huyo kijana ni yupi tena akaambiwa na wafusi wake kuwa ni motto mdogo sana ambaye amemaliza mafunzo juzi tuu anajifanya ni mtoa haki,basi Yule mzee aliamuakubeba vijana wake na kwenda moja kwamoja katika kijiji hicho cha igomelo wakati akianza safari akiwa yeye na vijana wake na mdogo wake Simoni .

Ilikuwa ni Asubuhi nyingine katika kijiji  cha igomelo jua likiwa linatokatoka watu huita jua lenye vitamin d wakiwa kaatika pilika pilika za kimaisha za kutafuta pesa ilimkono uendekinywani ,ghafla ulitokea msafara wa mzee juma wakiwa na magari yao kwenda kujua ni nani aliyeingia kuwa mkuu wa kituo cha polisi na kuwarudishia rasilimali.

Wananchikuona hivyo nao waliandamana na kila mtu kuchukua silaha zao mpaka kituoni kujua kuwa huyo mzee juma amefuata nini mara  baada ya kuingia ndani alimkuta Polisi jemsi  akiwa amekaa kwenye kiti chake Yule mzee juma akaanza kupiga kelele .

Wakati akipiga kelele Wanachi walijua labda ni Polisi Jemsi anapigwa nao walianza kuvunjavunja  magari ambayo walikuja nayo pale na kwa wakati huo hakuna mtu ambaye alikuwa na sauti ya kuwatuliza bila polisi jemsi.
Polisi Jemsi kusikia hivyo aliamuakutoka nchi na kuwatuliza alivyo watuliza akamuuliza mzeeJuma Ni waache wakuuwe hapa ,mzee alinywea kimya mdogo wake Simoni alimwambia kaka twende watatuuwa kabla hawaja ondoka Polisi Jemsi alichukuwa Faili la kuwarudishia malizao wananchi na kumpigisha SAHIHI Yule mzee juma kwa kidole gumba chake.

Tukio hilo lilivyotokea Waliwasha magari yao na kuanzaa kuanza safari yao,Wakati huo mzee alikuwa Anawaza akaonge kituo cha mjini iliwamuamishie mjini kikazi polisi Jemsi iliwamuuwe kama walivyo muuwa polisi mwingine alie kuwa akifanya haki sasa mzee Juma anatimiza ahadi zake na kumuamishia mjini Jemsi kwaajili ya kumua,Fatilia Hadithi hii je mbinu zao watafanikiwa kumuuwa  Usikose UHONDO HUU ALHAMISI IJAYO KATIKA MTANDAO HUU WA LUCY PATRICK WATZ
Previous
Next Post »

EmoticonEmoticon

:)
:(
=(
^_^
:D
=D
=)D
|o|
@@,
;)
:-bd
:-d
:p
:ng