Na Saimeni Mgalula
Star wa Bongo flava Nasibu Abdul maarufu kama Diamond Platinumz baada ya kuja kufanya show katika Ukumbi wa uwanji Hill Hotel uliopo Wilaya ya momba mkoani Mbeya,ameachagumzo kubwa baada ya watu fulani kuchapana ngumi kwaajili yake wikendi mbili zilizo pita.
wikend hiyo star huyo alikuwa kwenye gari la matangazo kabla ya kufanya show alisababisha Shabiki wake wote kukusanyika nakuanza kufuata gari hilo kitu kilichopelekea watu kufunga barabara zote Tunduma.
Watu hao walizichapa kati ya dereva bajaji na abiria ambaye alikuwa amemkodi kwaajili ya kukimbiza gari ya matangazo ambayo ilikuwa imembeba Diamond huku wakiwa hana pesa ya nauli hali hii ilimpelekea dereva bajaji kuanza kumtupia ngumu.
EmoticonEmoticon