Kazi inaedelea Bunge Maalum la Katiba,Kamat Mbalimbali Zaendelea Kukutana

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba,Mhe. Adam Malima(kushoto) akisalimiana  na mjumbe wenzake  Mhe. John Cheyo (kulia)mara baada ya mapumziko ya kikao cha leo mjini Dodoma leo kwenye ukumbi wa mikutano wa St. Gasper.

Baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakijadiliana jambo mara baada ya mapumziko ya kikao cha leo mjini Dodoma leo kwenye ukumbi wa mikutano wa St. Gasper.

Mwenyekiti wa Kamati Namba Moja ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Ummy Ali Mwalimu(katikati) akizungumza na akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma leo kwenye ukumbi wa mikutano wa St. Gasper kuhusu mambo yaliyojiri katika Kamati yake.Kulia ni Makamu wake ,Profesa Makame Mbarawa na kushoto ni mjumbe wa Bunge hilo, Ali Kessy.

 Makamu Mwenyekiti wa Kamati Namba 11 ya Bunge Maalum la Katiba,Mhe. Hamad Yussuf Massauni akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma leo kwenye ukumbi wa mikutano wa St. Gasper kuhusu mambo yaliyojiri katika Kamati yake.Kulia ni Katibu wa Kamati hiyo Bakari Kishoma.

Baadhi wa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wa Kamati Namba Moja wakiwa wanaendelea na kikao cha Kamati hiyo mjini Dodoma leo kwenye ukumbi wa mikutano wa St. Gasper.

Baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakijadiliana jambo mara baada ya mapumziko ya kikao cha leo mjini Dodoma leo kwenye ukumbi wa mikutano wa St. Gasper.Picha zote na Kamati ya Bunge Maalum la Katiba

EmoticonEmoticon

:)
:(
=(
^_^
:D
=D
=)D
|o|
@@,
;)
:-bd
:-d
:p
:ng