JAMAANI TUMEFIKIA KUBAYA SASA MTU MMOJA HUKO SINGIDA AJIFANYA DAKTARI NA KUSABABISHA KIFO HIVI HATUA STAHIKI INACHUKULIWA KISAWASAWA MBONA WATU WANAENDELEA


Photo: Vitendo vya watu kujifanya watumishi wa idara mbalimbali hapa nchini vimekuwa vikiendelea kukithiri, baada ya mtu moja katika kijiji cha Iyumbu wilaya ya Ikungi mkoani Singida kujifanya daktari na kusababisha kifo cha mgonjwa kwa kumwekea chupa za maji tisa zikiwa zimechanganywa na dawa pamoja na vidonge sita ambavyo havikufahamika maramoja.

Vitendo vya watu kujifanya watumishi wa idara mbalimbali hapa nchini vimekuwa vikiendelea kukithiri, baada ya mtu moja katika kijiji cha Iyumbu wilaya ya Ikungi mkoani Singida kujifanya daktari na kusababisha kifo cha mgonjwa kwa kumwekea chupa za maji tisa zikiwa zimechanganywa na dawa pamoja na vidonge sita ambavyo havikufahamika maramoja.
Previous
Next Post »