HUYU BINTI VERY MREMBO AISEE

Ange Kagame binti wa Rais Kagame mwenye miaka 25, usiku wa jana alikuwa kivutio katika mkutano wa Rais Barack Obama kwa urefu na uzuri wake, na hii ilisababisha viongozi mbalimbali wa nchi tofauti walioalikwa kwenye white house hiyo ya Marekani kufurahia uwepo wake.
Previous
Next Post »