

Wafanyakazi zaidi ya 12 wa kiwanda cha Zhong tan shoe ambacho kinatengeneza viatu na mabegi kilichopo Mikocheni B jijini Dar es salaam wamefungiwa ndani kwa zaidi ya saa 5 na meneja wa kiwanda hicho bwana Rubeni Hung baada ya kudai fedha uongozi wa kiwanda hicho kwa miaka sita na kufikia hatua ya kutoa taarifa kwa uongozi wa kiwanda na kukata kuwalipa na kufikia hatua ya kuwafungia ndani ya kiwanda hadi jeshi la polisi lilipofika kiwandani hapo na kuwafunmguiliwa wafanyakazi hao majira ya saa tatu usiku.
EmoticonEmoticon