DUUU KUMBE PANYA WANALIWA NA WENGI DUNIANI ONA HAPA






Hii sasa ni kiboko yao maana hakuna haja ya kuwa na Paka kwenye nyumba kama kuna watu wanamna hii jionee mwenyewe mpaka hapo Paka ana chake.?

Maana kwa hii hali huwezi ukasema alikuwa analipiza kisasi labda panya walikuwa wanamlia vyakula vyake no hicho ni kitoweo,  njaa ya mrembo huyo yamfanya atembezi kipondo kwa panya huo ndio uhalisia.

Wenzangu na mimi amabao ni waroho wa kura nyama ovyo ovyo sasa ndio mjifunze kuwa mnaweza mkalishwa na nyama ambazo hamkutegemea. continue here for this




Previous
Next Post »