BREAKING NEWZ HEBU ONA JAMANI BAADA YA JANA NA LEO TENA BASI LA SKYLINE LINALOFANYA SAFARI ZAKE KATI YA MBEYA NA DODOMA LAPINDUK MLIMA NYOKA


 Askari wa Usalama Barabarani akikagua basi la Skyline lililopinduka leo katika Mlima Nyoka na hakuna aliyeripotiwa Kupoteza maisha katika ajali hiyo
 Askari wa Usalama Barabarani wakiwa katika eneo la tukio tayari kwa kuanza kazi yao
Basi la Skyline likiwa limepinduka katika Mlima Nyoka
Basi la SkyLine linalofanya Safari zake katika ya Mbeya na Dodoma limepinduka katika eneo la Mlima Nyoka Majira ya Saa moja Kasoro za Asubuhi leo. Taarifa za awali zinasema kuwa Hakuna Aliyepoteza maisha katika Ajali hiyo na baadhi ya abiria wachache ndo wamepata majeraha sehemu mbalimbali za miili. Picha zaidi zitakujia Hivi Punde

Tunaendelea kuwajuza zaidi kadri mdau wetu ambae pia alikuwa katika ajali hiyo atakavyozidi kutupa Habari.
Previous
Next Post »

1 comments:

Write comments
Anonymous
AUTHOR
20 August 2014 at 00:54 delete This comment has been removed by the author.
avatar