WATU ZAIDI YA 14 WAMEFARIKI PAPO HAPO LEO KATIKA AJALI YA BASI LA MORO BEST LIKITOKEA MPWAPWA KWENDA DAR







 Baadhi ya Miili ya Marehemu muda mchache baada ya kupata ajali wakiwa wanangojea kupelekwa Hospitali.



 
Baadhi ya wasamalia wema wakiwa wanaendelea kuokoa majeruhi na kuwaondoa waliofariki 


Hivi ndivyo basi lilivyo Haribika
Fuatilia hapa 

Picha na Dodoma yetu Blog
Previous
Next Post »