Dereva akiwa Hospitali ya wilaya ya Kahama
Kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ushetu Juma akiwa Hospitali ya Wilaya ya Kahama baada ya kujeruhiwa vibaya kwa Risasi na Mapanga na majambazi akitokea safarini mkoani Tanga
Diwani wa Kata ya Nyankende akimjulia hali Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ushetu Juma Kimisha katika Hospitali ya Wilaya ya kahama
Gari aliyokuwa akisafiria Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ushetu SM 10032 likiwa imevunjwa vioo kwa Risasi
Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Kahama Juma Protas ( wa pili kulia) akimjulia hali Mwenyekiti huyo mwenye Bandeji mkononi
EmoticonEmoticon