MTOTO MARY APATIAKANA AKIWA HAI, ALIIBWA CHANGANYIKENI KAPATIKANA TANDALE.

















































Mungu mkubwa jamani tumshukuru maana mtoto Merry amepatikana na huyo kulia naskia ndo aliyemuiba. 
Aliibwa changanyikeni kapatikana Tandale.Huyo pembeni mwenye blue ndio mwizi mwenyewe alikuwa houseboy wao zamani.Kwa nini alimuiba?je yupo salama na afya njema?wazazi hawajapatikana bado kuongea simu zimezima. Habari zaidi zitawaijia tuakapo zipata.
Previous
Next Post »