JAMANI POLE RODRIGUEZ AMWAGA `CHOZI` BAADA YA KUTUPWA NJE YA KOMBE LA DUNIA AKIWA NA MABAO 6 Anonymous 23:33 Anonymous Beki wa Brazil David Luiz akimfariji Rodriguez baada ya mechi mjini Fortaleza Rodriguez akikumbatiwa na kocha wake Jose Pekerman baada ya kupoteza mechi dhidi ya Brazil. Nyota huyo wa Manoca aliifungia Colombia bao la kufutia machozi kwa mkwaju wa penati. Twitter Facebook Google Tumblr Pinterest Artikel Menarik Lainnya
EmoticonEmoticon