Kutoka Japan, Mwanasiasa huyu maarufu aitwae Ryutaro Nonomura amekua kwenye headlines za tuhuma za matumizi mabaya ya fedha zikiwemo safari nyingi alizozifanya kutembelea maeneo mbalimbali.
Kilio hiki cha kupinga tuhuma alikiangua kwenye mkutano na Waandishi wa habari baada ya kuulizwa kuhusu matumizi mabaya ya hizo fedha ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 40 za Kitanzania baada ya wiki iliyopita kukosolewa.
EmoticonEmoticon