WADAU WA MAZINGIRA WAKUTANA LEO KUJADILI UTAYARI WA TANZANIA KATIKA KUPOKEA NA KUTUMIA FEDHA ZA KUPAMBANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI




 Meneja Mradi wa Mazingira UNDP, Helene Gichenje akifafanua jambo kwa wadau wa mazingira wakati wa mkutano wa kujadili ripoti ya awali juu utayari wa Tanzania katika kupokea na kutumia fedha za misaada za kupambana na mabadiliko ya tabianchi 
Msimamizi wa masuala ya mabadiliko ya tabinachi wa UNDP, Abbas Kitogo akizungumza na waandishi wa habari wakati wa mkutano wa kujadili ripoti ya awali juu utayari wa Tanzania katika kupokea na kutumia fedha za misaada za kupambana na mabadiliko ya tabianchi
Baadhi ya wadau wa mazingira waliohudhuria mkutano wa kujadili ripoti ya awali juu utayari wa Tanzania katika kupokea na kutumia fedha za misaada za kupambana na mabadiliko ya tabianchi
 Meneja Miradi wa Forum CC, Fazal Issa akifuatilia mjadala




Mtaalamu wa masuala ya mabadiliko ya tabianchi Damian Kasmiri, ambaye alikuwa mwezeshaji katika mkutano huo akifafanua baadhi ya masuala kwa wadau wa mazingira
Previous
Next Post »