NAOMBA RADHI KWA PICHA HIZI WATU ZAIDI YA 10 WAPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA COSTA ILIYOTOKEA ENEO LA MAKONGO




















































































Gari aina ya Toyota Coaster  inayofanya safari zake kati ya Ubungo na Tegeta jijini Dar es Salaam imepata ajali mbaya leo mchana baada ya kugongana na gari lingine na kusababisha vifo vya watu wanaokadiriwa kuwa zaidi ya 15 katika eneo la Lugalo, Makongo Sekondari  jijini Dar. 




Previous
Next Post »