Picha za kwanza tokea Chris Brown atoke Jela zimetoka na kama wengi mlivyotegemea mtu akitoka jela za bongo anakua amekonda basi jiulize tena coz jamaa katoka jela huku akiwa ameongezeka unene hadi mtu unaweza kumuita kibonge. Birthday yake ya kusherekea miaka 25 ilikua tarehe 5 mwezi wa tano lakini sababu alikua yupo jela wakaamua kuiunganisha na sherehe ya kukaribishwa nyumbani .
Huku akiwa amevalia nguo za kijeshi ambazo kibongobongo lazima wakukamate ni wazi Chris alikua ameongezeka uzito lakini akiwa mwenye afya nzuri. Inaelekea maisha ya jela yalikua mazuri sana kwa Chris.Kilichobaki kwa chris sasa ni kutoa ring yake puani na kuanza kuachia ngoma kali.


Chris Brown aliachiwa tarehe 2 mwezi wa 6 baada ya kukaa jela kwa siku 59. Kwenye Sherehe hiyo kulikua na mama yake, girlfriend wake Karrauche Tran, Tyga, T-Pain na bikini models wa kutosha.

-
Chris Brown aliachiwa tarehe 2 mwezi wa 6 baada ya kukaa jela kwa siku 59. Kwenye Sherehe hiyo kulikua na mama yake, girlfriend wake Karrauche Tran, Tyga, T-Pain na bikini models wa kutosha.
Worth the wait: Chris gave his girlfriend Karrueche a big kiss at the bash that she arranged
She's with him: Karrueche showed how much she missed Chris too while he was in jail by cuddling up to him some more
Armful: Chris hugged Karrueche and a lady friend at the fun party
Slimmed down: Chris shows off his chest while on stage at the American Music Awards in 2012
Party time: Chris' friends rolled up to celebrate his release
Catching up: Brown made sure to chat with his friends at the party
EmoticonEmoticon