Lil Kim Ajifungua Mtoto wa Kike.

Rapper Lil' Kim gave birth a girl Monday that she named Royal Reign, according to a report.

 Lil Kim Ajifungua Mtoto wa Kike, ampa jina lenye hadhi ya kifalme

Pichani: Lil Kim na baba mtoto wake wakati ana ujauzito

Member wa zamani wa Junior MAFIA, Lil Kim amejifungua  mtoto wa kike akiwa ni mtoto wa kwanza kwake.
Kwa mujibu E! Lil Kim alijifungua June 9, majira ya asubuhi na amempa jina lenye hadhi ya kifalme, Royal Reign.
 Royal Reign ni princess mwingine kutoka kwa mwana hip hop anaeungana na dada zake toka kwa wasanii wa kongwe…Blue Ivy (Jay Z) na North West (Kanye West).
Kim mwenye umri wa mika 39 amempata mtoto huyo na rapper wa Marekani anaefahamika kwa jina la Mr. Paper.
Previous
Next Post »