HONGERA MTU WANGU WA NGUVU KWA KAZI UNAYOFANYA UMESTAHILI



Watu wangu!! kwanza namshukuru Mungu muweza wa yote... shukrani kubwa zinazofata ni zako mtu wangu ulienipigia kura, uliefanya kampeni kwenye page yako na kunitag na hata ulieshindwa kupiga kura lakini love yako ilikua kwangu! nyinyi ndio mmeifanya #June272014 kuwa siku yangu nyingine kubwa baada ya kushinda tuzo zote mbili nilizokua nawania ktk#tuzozawatu2014 #MtangazajiAnaependwa na#kipindicharediokinachopendwa asanteni yani watu wangu! Huu ni Upendo mkubwa sana kwangu! ahadi yangu ni ileile #damdam #milelemtu wako wa nguvu na watu wake wa nguvu! Love kwa watu wangu @bdozen na Maryam Kitosi tuliokua pamoja kwenye kuwania, naitambua kazi yenu watu wangu.


Previous
Next Post »