BREAKING NEWS MAJAMBAZI YAUA SISTA UBUNGO


SISTA wa Prokia ya Makoka iliyopo Kibamba, ameuawa na majambazi yaliyokuwa kwenye bodoboda wakati akiingia kwenye gari akitokea dukani eneo la River Side, Ubungo jijini Dar es Salaam hivi punde! Taarifa kamili endelea kufuatilia mtandao huu.
Previous
Next Post »