BASI LA AHIDA'S LAPATA AJALI KIBITI MKOANI PWANI


Basi la Kampuni ya AHIDA"S 
  lenye namba za usajili T 231 BHC linalofanya safari zake za kila siku Kutoka Dar - Lindi - TunduruLimepata ajali mapema asubuhi ya leo katika eneo la kijiji cha Kinyanya - Kibiti na kudaiwa Kusababisha Vifo zaidi ya watu 3 na majeruhi.

 
Ajali hiyo ilitokea baada ya Dereva wa basi hilo kumkwepa 
mtoto aliyekuwa anakatiza barabara.
 
 Mara baada ya kutokea ajali hiyo dereva aliweza kujisalimisha kituo cha polisi cha Kibiti. Basililikuwa likitokea Dar es salaam kwenda Tunduru.
Previous
Next Post »